
Diamond Platnumz – Unachezaje (Lyrics) Mp3 Download
Tanzanian Music stars, “Diamond Platnumz” come through with his brand song titled ‘Unachezaje‘.
Enjoy more music from koboinfo new naija songs, videos, Albums and Dj Mixtape. Also, visit our social media @ Instagram @Koboinfo and Pinterest
Download Diamond Platnumz – Unachezaje Lyrics (Mp3, Lyrics, Video)
Diamond Platnumz – Unachezaje | Download Mp4
Diamond Platnumz – Unachezaje Lyrics
Mkunoni kai (mati)
Nasikia kuna kiki (wapi)
Niije kujimwaga (kati)
Oooh haitoshi, kalitaka
Simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa
Kazima anataka kubebewa
Oooh haitoshi, kalitaka
Simba la baba kaletewa
Oooh my gosh, sasa
Kazima anataka kubebewa
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unachezaje
Ilikuwa mbili 4 4, pale pale (pale, pale)
Dawa ya show show
Nahisi lale (nahisi lale)
Peleka vuta, taratibu sio kwa pupa
Dereva shusha hapo, mbele
Kwenye kuta
Huu ni mti gani (wa Mchongoma)
Ukiukata (haukatiki)
Si ni mti gani (wa Mchongoma)
Wakitukata (hatukatiki)
Sasa waonyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje u
Nachezaje
Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje
Kwani unachezaje, unachezaje
Unacheza
Popolipolipopopopopolipolipola
Popolipolipopopopopolipolipola
Popolipolipopopopopolipolipola
Waambie chombo (kinapepea)
Eeh chombo (kinapepea)
Huwaga chombo (kinapepea)
Aah weeh
Acha
Aah weeh
Huo mnazi (unakatika)
Mnazi (unakatika)
Mama mnazi (unakatika)
Ona mnazi (unakatika)
Ukitaka kukatika (hukatika)
Kati kati (kati kah)
Huo mjumba (unabomoka)
Mjumba (unabomoka)
Mama mjumba (unabomoka)
Ona mjumba (unabomoka)
Ukitaka kubomoka (hubomoka)
Bobo bobo bobo bobo bobo boh
(Kamix lizer)